Mwigulu: Muwe na adabu mnapoiandika nchi iliyo huru. Mimi nitaendelea kusema hata wakereke

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Na mimi hii nitaendelea kusema hata wakereke ndio Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania na Mheshimwa Rais alitoa maelekezo anayetaka aje tushirikiane. Kama tuna rasilimali zetu lazima tuzilinde kwa wivu. Hata kama watu wanaungana kutunandika andika mitandaoni wajue na wenyewe wana nchi yao na hii ni nchi yetu na sisi tunawashauri wawe na adabu wanapoiandika nchi iliyo huru"

Hayo ameyasema Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Disemba 20, 2025 wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) mkoani Lindi.
 
Yaani huyu Mm huwa Siwezagi hata kupoteza Dk 1 kusikiliza Upuuzi wake
 
"Na mimi hii nitaendelea kusema hata wakereke ndio Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania na Mheshimwa Rais alitoa maelekezo anayetaka aje tushirikiane. Kama tuna rasilimali zetu lazima tuzilinde kwa wivu. Hata kama watu wanaungana kutunandika andika mitandaoni wajue na wenyewe wana nchi yao na hii ni nchi yetu na sisi tunawashauri wawe na adabu wanapoiandika nchi iliyo huru"

Hayo ameyasema Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Disemba 20, 2025 wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) mkoani Lindi.
Mwigulu ni kichaa hana sifa ya kuwa waziri mkuu
 
Kama rasilimali za Tanzania ni kwa ajili ya Watanzania waarabu DP World wanafanya nini bandarini??
Kwa nini Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro?
Kwa nini umeme bado ni shida wakati tuna gesi??
Kwa nini tuna shida ya maji pamoja na kuwa na mito, maziwa na bahari??
 
Nchi kwa sasa imekuwa kama ya waimba taarabu na singeli. Ni ujinga ujinga tu.
 
Hawa watu wamechabgabyikiwa. Kombo yuko busy kuwabembeleza halafu Madilu yuko busy kuwanabga. Sasa sijui hata anastasia nani Wazungu?
 
Back
Top Bottom