Mwigulu: Mvua na Kimbuga Hidaya zimeharibu kilometa 528 za barabara

Mwigulu: Mvua na Kimbuga Hidaya zimeharibu kilometa 528 za barabara

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ametaja athari za Kimbunga Hidaya na Mvua za elnino kuwa ziliharibu barabara 68 nchini, ambapo ma-culvet 189 yaliharibiwa. Aidha ni jumla ya kilometa 528 zimeharibiwa kutokana na hali hiyo. Waziri amesema barabara hizo zimeanza kujenga na baadhi zimeanza kuwa zinapitika kwa muda.

Waziri ameomba kuwa na mfuko wa majanga ili kuwa tayari kifedha kwa majanga yanayoweza kuja kutokea.

====

Pia soma:
 
Back
Top Bottom