Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
 
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli sasa tunajiuliza nani muongo Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion
Mwigulu maana haminiki

USSR
 
Mwigulu muongo

Swala la bilioni 700 ya ruzuku ya mafuta
 
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli sasa tunajiuliza nani muongo Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion
Kama haijalipwa bilion 350 imelipwa shilingi ngapi?
 
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli sasa tunajiuliza nani muongo Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion
mwigulu ni ccm na uwe makini kumuamini mtu wa ccm!
 
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli sasa tunajiuliza nani muongo Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion
CAG anadanganye kwa manufaa ya nani kwa mfano? Jibu ushalijua nani amedanganya!
 
Muda umefika tuone maripot ya kuanzia march 20²1kuja mbele
 
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
Mwigulu, Nape, Ummy, Bashe, Aweso, Makamba, Jafo ni matapeli tupu
 
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
hivi Mwigulu alimjibuje spika kuhusu trab na trat...! kwamba ni nini vile?
 
Back
Top Bottom