Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Aisee huyu Mh. Mwigulu anaipenda sana timu ya Yanga, mimi binafsi simkubali ktk siasa zake ila kwa hili la kuichagua Yanga namuunga mkono 100% japo mimi ni mikia nasubiri kushuka daraja mwakani kwani mwaka huu nimesalimika. Big up Mwigulu namimi nahamia huko maana huku kwetu stress..... Mwigulu Yanga, Ridhi Yanga, Jk Yanga, Karume Yanga.......
Fisadi zote Yanga!
Akili za kimbumbumbu......by Aden RageCcm yanga