Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Aisee huyu Mh. Mwigulu anaipenda sana timu ya Yanga, mimi binafsi simkubali ktk siasa zake ila kwa hili la kuichagua Yanga namuunga mkono 100% japo mimi ni mikia nasubiri kushuka daraja mwakani kwani mwaka huu nimesalimika. Big up Mwigulu namimi nahamia huko maana huku kwetu stress..... Mwigulu Yanga, Ridhi Yanga, Jk Yanga, Karume Yanga.......