Mwigulu na Yanga

Mwigulu na Yanga

Aisee huyu Mh. Mwigulu anaipenda sana timu ya Yanga, mimi binafsi simkubali ktk siasa zake ila kwa hili la kuichagua Yanga namuunga mkono 100% japo mimi ni mikia nasubiri kushuka daraja mwakani kwani mwaka huu nimesalimika. Big up Mwigulu namimi nahamia huko maana huku kwetu stress..... Mwigulu Yanga, Ridhi Yanga, Jk Yanga, Karume Yanga.......
33.jpg
 
Ata kaburu,said Tully wote yanga hawa ila njaa imewapeleka kuwa mambumbu
 
Back
Top Bottom