Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”

“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho”

“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya”

My Take
Tanzania ina laana ya kupata viongozi wa hovyo

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
 
😀😀😀
Jamaa mjanja sana anatembea na upepo wa yamga
Ila nampongeza kwa kupendekeza vifaa vya VAR visilipiwe kodi

Hata azam wataeeza kuvinunua
 
Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”

“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho”

“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga
kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya”

My Take
Tanzania ina laana ya kupata viongozi wa hovyo
Tena bora ya laana unaweza kuombewa ikaisha, hii ni zaidi ya laana
 
msengeresi kabisa
 
Yeye anachangia pakubwa ubingwa wa yanga kuzinunua ihefu masingida united black stars kibao na bado ni mjumbe wa wadhamini wa klabu!
 
Amefurahia tu timu yake shida zenu ni hizi mnawaka mapema hamjui ni furaha tu . Unaweza sema hata wananchi wote walioko bar kunyweni bili mnilitee mie hujawahi sikia ,so msipanic kila ambacho mtu anasema nifuraha tu
 
Mwigulu hayuko serious hata kwenye mambo ya msingi. Hakuwa na sababu ya kuleta masihara kwenye jambo linalohusu fedha ya nchi.
 
Back
Top Bottom