Mwigulu Nchemba achanwa makavu, aambiwa ni mbumbumbu wa elimu. Dharau kibao wakati hana akili pamoja na kuwa na Phd

Kosa la mwigulu ni lipi? Hebu tumwache wazuri afanye kazi,binafsi namuunga mkono
 
Baba levo na mwijaku ndio wanaongoza akili zinazomwona mwigulu wa maana
 
Yule mambo yake aachiwe mwenyewe, ndivyo alivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…