Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
We umejuaje kama si miongoni mwao wategemeao nguvu za waganga wa kienyeji?Huyo bwege ana jopo la waganga toka kila pembe ya nchi hii na kiboko wa wote yuko Pemba kibibi fulani hivi kina ziwa moja