Mwigulu Nchemba, haipendezi Waziri wa Fedha na Mipango kuwa MUONGO

Masese
Ni muda muafaka sasa kwenu wapinzani kuimarisha mikakati ya kuichomoa CCM 2025 ili kuokoa Taifa.

Zungumzeni ukweli kwa wanananchi wajue namna wwnavyopelekwa shimoni na kina Mwigulu. CCM imepoteza mwelekeo
 
Rais wa mawe hahaaaa
 
Awamu ya sita ni kipimo cha uvumilivu wa watanzania kwa shida na tozo walizotupiwa.

Na kipimo cha uelewa watu wa mambo, ni majuzi tumeona wakisaini ‘extended credit facility’ na IMF.

ECF ni mkopo kwa nchi maskini ambazo makusanyo yao yameshuka ili walipe madeni

Mwigulu kama Mwigulu badala ya kusema ukweli makusanyo yameshuka serikali aiwezi mudu madeni, yeye anaweka siasa tatizo ni awamu iliyopita kukopa private. Ilhali kila siku na wao wanakopa world-bank source ya hizo hela ni private bank

Personal nakerekwa sana ninapoona hawa mawaziri wanaongea uongo wa kishamba mbele ya kadamnasi, that’s just an insult to our intelligence; it is as if nchi nzima ni bogus people.

Na huo ndio mtazamo wa Mwigulu yaani anatuona mazuzu kweli.
 
Mwigulu ni waziri wa fedha mwenye maneno meengi kuliko mwingine yeyote kupata kutokea ktk taifa hili!.
Anazijua hesabu za kujumlisha na kutoa tuuu!.
 
Tunajua kuwa uRais ni taasisi. Jee mtu akitaka kumpa Rais limbwata au shuntama ili apendwe na asionwe makosa yake anampa nani? Maana limbwata kwa taasisi ni ngumu, jee kwa mwenyewe binafsi yawezekana?
Kama inawezekana, basi Mwigulu kaweza [emoji24][emoji24]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
He is more of a headcase than a liar.
 
He is more of a headcase than a liar.[emoji23]
 
He is more of a headcase than a liar.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…