Mwigulu Nchemba, haipendezi Waziri wa Fedha na Mipango kuwa MUONGO

Mwigulu Nchemba, haipendezi Waziri wa Fedha na Mipango kuwa MUONGO

Ukitaka upime kuporomoka kwa kiwango cha Elimu msikilize huyo Waziri wa Fedha utajua tupo wapi...
 
Naona tumelipa deni
 
Attachments

  • IMG-20221216-WA0131.jpg
    IMG-20221216-WA0131.jpg
    84.8 KB · Views: 3
Mwigulu alistahili kuwa Katibu mwenezi wa chama. Hiyo Wizara ilitakiwa kusimamiwa na wataalam waliobobea kwenye masuala ya fedha, kodi na uchumi.
mwigulu anayo PhD ya kusome na pia first class degree na ni Moja ya watu waliofaulu vizuri kwenye masuala ya uchumi na kodi ni nguli kweli kweli , labda aje profesa sio Dr.
 
Huyo sisi tushamkabidhi kwa tulia atambananisha tu.
 
Tanzania tulalamika kwenye mitandao tu hakuna wakuiwajibisha serekali nalo hili litapiata kama mengine. Bado tumeambiwa world cup tutashiriki bila wasi wasi duh! bwawa la Nyerere wataanza lijaza maji mwisho wa mwezi huu, maji hayatoki bombani, nk kwakweli tunaburuzwa acha kabisa.
 
mwigulu anayo PhD ya kusome na pia first class degree na ni Moja ya watu waliofaulu vizuri kwenye masuala ya uchumi na kodi ni nguli kweli kweli , labda aje profesa sio Dr.
Kusomea na kufaulu vizuri tunakubaliabaliana nayo kikubwa ubunifu ktk uchochezi wa kukuwa kiuchumi na ukasanyaji wa kodi ya nchi , mfumo utakao leta unafuu kwa wananchi na sio malalamiko, nikupe mfano Zambia wananunuwa mafuta bei chini kuliko sisi na wakati wao km ni zaidi ya sisi toka port .
 
Back
Top Bottom