Mwigulu Nchemba, haipendezi Waziri wa Fedha na Mipango kuwa MUONGO

Anajua level ya uelewa ya watz, anajua kwa kusema tu hivyo ashawakosha. Wachache sana wenye thinking kama ya wana jf, na wenye thinking hiyo hawapigi kura
 
kwakweli nashukuru kwa madini haya.
 
 

Attachments

  • IMG_6830.MP4
    9 MB
Sasa huyu anazungumza uongo wa mchana kweupe kana kwamba hizo kodi anazokusanya kupitia TRA huwa zinalipwa na mawe yale aliyoyachora jina lake nchi nzima kiasi cha kuitwa "Mwigulu - Rais wa mawe....!"
Yaani amesahau kabisa kama hao walipa kodi na tozo ndiyo akina sisi Watanzania.

Halafu anajichekesha chekesha eti.
 
Kwani fedha za kujenga majengo ya shule tuliambiwa zinatoka wapi kweli?? (Msaada kwenye tuta).
 
Maajabu, ya dunia, Minister bado amelalaaaa akijua Watanzania bado mambumbu, anawapopoa mawe kwa mlango wa Tozo na bado anawambia hawatalipa deni la Taifa hata liwe kubw kiasi gani. MIMI AKILI ninazo sjui wewe Mwananchi mwenzangu unazo? Kama unazo jaza....nafasi ya kufikili!!
 
Ngoja niliweke vizuri, anaposema hamtagongewa hodi kudaiwa deni la taifa haina maana kwamba mwigulu binafsi ndo atauza ng'ombe zake ili alipe deni la taifa,, tatizo watanzania wengi wako too slow on uptake na reasoning,,
Anachomaanisha ni watu waondoe paniki zisizo na maana, deni la taifa litalipwa na linalipwa continuously,, hakuna siku atakuja mtu kupiga hodi kwako wti uamke ulipe deni la taifa,, deni linalipwa as we speak, in a smooth sort of way,
Mbadala wa kukopa maana yake hizi project za maendeleo tutawajibika kuzigharamia directly kwa kulipa kodi,,
Hii maana yake wananchi ili wapate maendelea hadi muuza mchicha itabidi afile tax return,,
Mbadala mwingine tunaweza kukubaliana tuishi kama zama za mawe, yaani no development projects ๐Ÿคท๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
 
Masese
Ni muda muafaka sasa kwenu wapinzani kuimarisha mikakati ya kuichomoa CCM 2025 ili kuokoa Taifa.

Zungumzeni ukweli kwa wanananchi wajue namna wwnavyopelekwa shimoni na kina Mwigulu. CCM imepoteza mwelekeo
Hizi siasa za kupakana matope tunazishuhudia tangu miaka ya 60 huko,, hakuna nchi inaingiaga shimoni, maisha yanaendelea, hayasimami, vizazi vinakufa, vinakuja vingine, nchi iko palepale,, ๐Ÿ˜‚,
Kikubwa tu labda wanachadema wenzagu ni tamaa tu ya sisi pia tukamate madaraka ili tufaudu keki ya taifa,, hili la kuokoa nchi sijui isiingie shimoni, huo ni urongo,, hakuna nchi imewahi kuingia shimoni bana,
Sisi chadema tunataka tuitie ccm madarakani ili nasisi tufaudu vyeo vikubwa vikubwa, tupate pesa,, watoto wetu wasome havard university, koo zetu ziishi maisha mazuri ya raha milele na milele๐Ÿ˜„.
Hakuna mtu atabadili maisha yako zaidi ya wewe mwenyewe
 
Mentality ya kuwa madaraka ni kutafuna keki ya taifa imeasisiwa na mashine za uchochezi za CCM.

Uachage kuwaza huo upuuzi
 
Acheni aendelee kutudanganya tu. Si tumeamua kutumia asilimia moja ya akili zetu.
 
Mentality ya kuwa madaraka ni kutafuna keki ya taifa imeasisiwa na mashine za uchochezi za CCM.

Uachage kuwaza huo upuuzi
Hao walishavimbewa,, hatuwezi weka wenye njaa kali, hadi wakashibe ndo waanze kujali mwananchi itachukuwa miaka kama 30 hivi,, bora tuendelee na zimwi likujualo tu,, statu quo
 
Hao walishavimbewa,, hatuwezi weka wenye njaa kali, hadi wakashibe ndo waanze kujali mwananchi itachukuwa miaka kama 30 hivi,, bora tuendelee na zimwi likujualo tu,, statu quo
Sijajua umri wako maana una dalili zote za ulozi๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜€
 
Triple MMM kachambua vizuri sana sana hongera sana Martin
 
Waziri aliongea Mengi lakini bandiko lako lote ni kuhusu kauli moja tu kwamba hatutagongewa milango kudaiwa kodi kitu ambacho ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ