Mwigulu Nchemba: Hii ndio Yanga ya Mama Samia.

Mama Samia anahusikaje na Yanga ? kama ni mfadhili mpya tutangazieni.
 
Mama Samia anahusikaje na Yanga ? kama ni mfadhili mpya tutangazieni.
Yanga ni timu ya serikali, tumelisema hili Mara nyingi hamtaki kuelewa.

Ila timu za Majeshi mnaelewa kama zipo, hao kina GSM wamewekwa tu hapo kuendesha hizo timu ili zisigharamiwe na serikali.
 
Mpira wanauweka kuwachanganya mjue mpo pamoja…
Mpira bongo Jan thru Dec si upuuzi huu
Wananchi wanashabikia mpira kuliko haki za msingi.
Eti yanga ya nani tena?! Rubbish
 
Mpira wanauweka kuwachanganya mjue mpo pamoja…
Mpira bongo Jan thru Dec si upuuzi huu
Wananchi wanashabikia mpira kuliko haki za msingi.
Eti yanga ya nani tena?! Rubbish
Kama inauma chomoa
 
Samwel Sita,Zito Kabwe na Makonda.
 
Makamu wa rais Philp Mpango ni Yanga
 
Ingeshinda Simba ingekuwa Simba ya Dr Samia Suluhu Hassan

Mwanasiasa huchagua timu ya kushangilia baada ya mchezo kuisha
 
Brother Ten:
Tunafurahiautani wa Simba na Yanga. Huleta mori kila timu na hii huipandisha daraka National team na kujengeka. Iko siku Afcon wataibebe Tanzania.
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
Wabongo unafki upo kwenye damu.

Kwani waziri wa fedha akiwa shabiki wa timu fulani anatenda kosa gani??

Kikwete ni mwananchi kila mtu alihua, ilileta hasara gani. Shida labda uwe na viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiri
 
Upuuzi anaofanya sidhani kama ana muda wa kushabikia au kupata starehe yoyote (afanye kazi overtime - hali si shwari kitaa kwa upande wa faranga)...; Hayo atuachie sisi ambao ajira zetu sio Kodi za UMMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…