Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
He's one of the best Bogus Phd holder in the Country.
 
Mwingulu ndiyo alikata Nchi kuacha kutoa takwimu za watu wanaokufa kwa Corona sasa marehemu wameanza kumlaani vibaya atapoteza hata huo uwaziri mda si mrefu
😂😂😂😂
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.

Mimi nafikiri ni wazi huu ndio uhuru wa maoni ambao kila leo tunaupigania humu! Yani kila mtu ana haki ya kuongea bila kuvunja sheria! Hivyo hata Mwingulu kuwa waziri hakumnyimi haki ya kusema na kuwajibu watu!

Kama kweli tunalilia uhuru wa maoni basi tusizuie kujibiwa na wengine kutujibu au kuongea! Kama tunamkataza waziri kuongea kwa kigezo kuwa ni waziri wakati sisi tunaongea!

Mimi nafikiri tuangalie hoja zake tusiwakataze watu kutujibu ..na tusiogope kujibiwa!
Hivyo ni wazi @mwingulu nchemba anayo haki ya kuwajibu!
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Great piece of advice. I couldn't put it better than that!!
 
Hivi nyie wahaya mtaacha lini dharau zenu? mwenzako naye alisema milioni 10 ni pesa ya mboga, jobless people unawalisha wewe au familia zao unazihudumia? tena wengine yupo nao ofisini kwake lakini wanamtukana kwa fake ID sababu ya dharau zake kama wewe ulivyonadharau
Kama ni dharau, yote ielekezwe kwako. Wewe ni kilaza wa kiwango cha juu. Unaleta ukabila? You're a skunk!
Marehemu mama Lwakatare hakuwa mhaya.Inawezekana na Kamugisha vivyo. Hata akiwa mhaya si ni yeye na sio kabila zima? Hata ile sentensi yake haikuwa ya dharau. Kwa wajuzi wa lugha, hiyo ilikuwa ni kusisitiza ukubwa wa cheo cha waziri. Beatrice ni jabali humu jf. Vivyo ni jobless nguli! Shule mnafanya bidii kwenda kujua KKK tu.
Mwenzake naye wa hela ya mboga. Hapo ndipo unaonyesha utaahira wako. Najua si wewe tu. Wapo wengi kama wewe. Tuache lile alilosema ana akaunti 10 za benki ndani na nje ya nchi. Kwa mfano mwenye mshahara wa M1 akinunua kilo 1 ya nyama kwa 10k ametumia 1%. M10 katika B1.6 ni 0.6%. Hata kilo ya nyama bado! Hakuna viungo wala mafuta ya kula. Umaskini mpaka wa akili unakusumbua. Kabla yake uliambiwa B1 ni vijisenti. Kwa upofu wako Chenge ana dharau. Wasukuma wote wana dharau. Utakua lini?
 
Mwigulu nae bado mnamzingatia hadi leo....

Watafuta teuzi kama hao sio wa kuwazingatia.
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
HUYU MWIGUL NI ANABAHATISHA , MJANJA AKIONA JAMII INASEMA KUHUSU MAGU YEYE ANAWAHI KIMBELEMBELE KUJIBU POROJA ZITAKOZOMPENDEZA RAIS ALAFU ANAPEWA CHEO, SASA AMEANZA TENA ANABAHATISHA KAMA AKIJA APEWE SHAVU TENA, JANJAJANJA KAMA MWIZI MSALABANI
 
Kama ni dharau, yote ielekezwe kwako. Wewe ni kilaza wa kiwango cha juu. Unaleta ukabila? You're a skunk!
Marehemu mama Lwakatare hakuwa mhaya.Inawezekana na Kamugisha vivyo. Hata akiwa mhaya si ni yeye na sio kabila zima? Hata ile sentensi yake haikuwa ya dharau. Kwa wajuzi wa lugha, hiyo ilikuwa ni kusisitiza ukubwa wa cheo cha waziri. Beatrice ni jabali humu jf. Vivyo ni jobless nguli! Shule mnafanya bidii kwenda kujua KKK tu.
Mwenzake naye wa hela ya mboga. Hapo ndipo unaonyesha utaahira wako. Najua si wewe tu. Wapo wengi kama wewe. Tuache lile alilosema ana akaunti 10 za benki ndani na nje ya nchi. Kwa mfano mwenye mshahara wa M1 akinunua kilo 1 ya nyama kwa 10k ametumia 1%. M10 katika B1.6 ni 0.6%. Hata kilo ya nyama bado! Hakuna viungo wala mafuta ya kula. Umaskini mpaka wa akili unakusumbua. Kabla yake uliambiwa B1 ni vijisenti. Kwa upofu wako Chenge ana dharau. Wasukuma wote wana dharau. Utakua lini?
Wewe mhaya kimekuwasha vizuri sn
 
The end justified the means!
Fuatilia majibu ya wateule walio wengi kuanzia ngazi za chini.
Au nimewakwaza waungwana?
 
Alirejeshwa baada ya kukesha kushinda kwa waganga wa kienyeji na akatumia kauli ya kusema Tanzania hakuna corona watu waache kutoa takwimu na waendelee kusalimiana kukumbatiana bila kikwazo ndipo akateuliwa tena kuwa waziri na sasa corona imepamba moto na hana pa kujificha lazima apewe vidonge vyake apate kujitambua
Eti na yeye anajiona kwamba anaweza kuwa rais.

Nchi hii ilivyo ya ajabu, na hasa kuendelea kuwa na CCM iliyopo sasa, sio ajabu sana ukakuta kweli anakuwa kiongozi wa nchi!

Ni shida sana.
 
Huyu asije akapewa nnchi ni hatari zaidi ya corona,mtu ambaye hawezi kuvumilia mambo madogo kama maneno tena ya mitandaoni atavumilia kweli vita ya kiuchumi?? hahhaah
 
Unawadharau wasio na ajira wakati serikali yako pendwa ndio imewatangeneza, una kichwa kibovu sana.

Kwa akili yako fupi hufai kumshauri yeyote.
Huyo mama Beatrice Kaijage anamipasho kama yule kaka yake wa viwanda vya vyerehani vinne!
 
Na huyu waziri haoni shida kumjibu mtu mmoja mmoja kwenye social media[emoji23] shida sana
 
Back
Top Bottom