Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba Iramba kwanuka, Asutwa

Mwigulu ana mengi rohoni, anatakiwa aokoke, atubu dhambi na hiyo damu itike mikononi mwake
 
Kweli hafai

Ana ndugu 11 na anataka urais si atatuibia tuu

Rais is Dr J PJ Magufuli mpaka 2035!!!! Kama kuna binadamu yeyote kutoka chama tawala anayetaka kuwa Rais kabla ya October 2035, ni msaliti wa taifa la Tanzania. Nchi ilikuwa imeuzwa ila tangu November 2015 Dr Magufuli anaendelea kuikomboa! Viwanda, mashirika ya umma, pwani yote ya Tanzania, nishati, madini etc vimerudishwa/ukombozi umefanyika. Kumbuka hakuna malaika dunia, makosa madogomadogo yapo lakini ni adjustable! Kudos Magufuli!
 
Umeandikaaaa lakini bado hujanishawishi. Chuki zenu mi hata sitaki kuzisikia. Kwa mwigulu labda tuweke CDM, Kama ni chama Cha chukua chako mapema acha aendelee. Ni nafuu kuwa na mwigulu. Iramba Sasa Ina angalau vituo vya afya toka nchi ipate Uhuru. Binafsi naona mengi yameganyika miaka 10 ya mwigulu kuliko kipindi Cha wabunge wengine waliopita. Na huyu mnampigia kampeni anasubiri Hadi awe mbunge ndio angalau ashiriki na wenzake kuijenga iramba, Bora abaki alipo tu.
 
*MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI*
.
nitaeleza jinsi Mwigulu anavyopanga mipango ya kuhamia upinzani endapo atapoteza nafasi ndani ya CCM , kwa sasa kimwili yuko CCM ila kiroho yuko upinzani .
Duh...!, wajameni, uongo mwingine na uzushi, zusheni uongo angalau ufanane kidogo na ukweli!. Kuna sehemu mgombea usipopitishwa CCM ukisimama upinzani unaweza kuchaguliwa, lakini sio mikoa yenye low literacy levels na umasikini uliotopea kama Singida!.

P
 
Ww n nan kwny nchi hii

Mwenywe kasema 2025 anamaliza mda wake

Na watu wazuri wapo wengi tuu humuoni majaliwa au na yy una madudu yake
 
Ya kwake tumeyajua, tuletee na ya aliyekutuma
 
Ila pamoja na Mwigulu kuwa mmoja wa watu wa hovyo sana, mleta mada unaonyesha umejiunga juzi na JF kwa lengo la kumshambulia yeye tuu.
Nimejaribu kuangalia post zako wewe ni Mwigulu tuu.
Ugomvi wenu kafanyieni huko huko CCM , au ni maagizo ya Kitila Mkumbo? Maana naye amekuwa was hovyo sana siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ugoro aliotoa Mwigulu jana 1-5-2020 bungeni baasi Kitila andaa suti zako ukaapishwe . Mwigulu proved a decayed mind flatter.
 
Kwa nini anajitia Mwigulu Nchemba ambayo ni majina ya asili ya Wasukuma wakati jina lake halisi ni LAMECK MADELU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…