Mwigulu Nchemba, Minister for Finance give us unconditional resignation

Mwigulu Nchemba, Minister for Finance give us unconditional resignation

Midas Touch

Senior Member
Joined
Jan 23, 2008
Posts
188
Reaction score
200
Honorable Minister for Finance (Phd) who cannot even calculate the basic principles of shift in demand! The quantity demanded (qD) is a function of five factors—price, buyer income, the price of related goods, consumer tastes, and any consumer expectations of future supply and price. As these factors change, so too does the quantity demanded.

He must resign unconditionally. The cause of action is the "Failure to calculate the worst economic impact of the very first weeks of the 2021/2022 budget".

SSH, SHOW HIM THE DOOR.
 
Kwa uchafu na uozo wa Chama chake hakuna wa kumnyooshea mwenzie kidole. Hebu fikiria Spika/Naibu Spika na Wabunge wa Chama kile waliketi na kugonga meza wakati bajeti hiyo ikisomwa.

Maamuzi yako kwa Wananchi. Waendelee kuburuzwa au waseme sasa imetosha. Kwani Bunge dhaifu ndilo limezaa Mawaziri Mizigo.
 
You're very right but the mentioned Minister will never resign unconditional as per your advise. Huyu Mtu Ni Msaka Fulsa na yupo Tayari kwa lolote ili mradi tu aendelee na Kuitwa waziri hata bila ya Ujuzi wa hiyo wizara. PhD yake Nadhani ni ya Nyuki, kwani sio bure kwa hiki anachomshauri Mh. Rais. This Guy Must go I agree with you...
 
I disagree with your conclusion, especially when you are trying to exclude her excellence Samia in this chaos.

As president and chairwoman of the cabinet she knew each and everything that could happen if those tariffs would be in actions, asking for finance minister resignation will not help us for now, we need total reform of cabinet and parliament plus vital appointees.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kishimba akisema elimu ya vyuo vyetu ni ya hovyo huu ndio mfano halisi, huyu World Bank hawezi pewa hata kazi ya kupika chai
 
Hili bunge la chama kimoja litatengeneza wapinzani wengi zaidi mtaani, one day mabadiliko yatakuja tu
 
Kishimba akisema elimu ya vyuo vyetu ni ya hovyo huu ndio mfano halisi, huyu World Bank hawezi pewa hata kazi ya kupika chai
Yaani hata articulation yake pale ITV dakik-45 jana ni pumba tupu. Sasa sijui pale alifuata nini.
 
Back
Top Bottom