Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Imeandikwa,Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na kupanga mkutano.
Siku zake za kuishi si nyingi, naye amejaa taabu ( Ayubu 14:1 )Imeandikwa,
"Hatujui saa wala muda atakapokuja Mwana wa Adamu" Mathayo 25:13
kujiandaa kwa mawazo, maneno na matendo mema ni jambo muhimu na la maana zaidi kwa kila mwanadamu aliezaliwa na mwanamke,
maana,
Imeandikwa,
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayubu 14:1
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na kupanga mkutano.