Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Nov 14, 2025 #1 Akiwa anazungumza leo Dodoma Tanzania Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema "Rais Samia amejitambulisha kama Rais anayetaka matokeo ya haraka yanayotatua matatizo ya Watanzania" Your browser is not able to display this video.
Akiwa anazungumza leo Dodoma Tanzania Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema "Rais Samia amejitambulisha kama Rais anayetaka matokeo ya haraka yanayotatua matatizo ya Watanzania" Your browser is not able to display this video.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 14, 2025 #2 Kelele za chura hazimzui tembo kunywa maji, nyie endeleeni kubwatuka tu na siasa zenu za ndumila kuwili.
Kelele za chura hazimzui tembo kunywa maji, nyie endeleeni kubwatuka tu na siasa zenu za ndumila kuwili.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,828 Reaction score 165,667 Nov 14, 2025 #3 Hamna uhalali wa kisiasa na wa kisheria kuongoza hii nchi.
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,662 Reaction score 5,558 Nov 14, 2025 #4 Uzuri watz wengi sasa hv hawadanganyiki, kama hayo anayoyasema Mwigulu ni kweli tungeshuhudia misururu ya wapigakura kwenye uchafuzi mkuu majuzi badala ya aibu iliyoonekana. Tafsiri yake ni kwamba huyo daktari wa mchongo samuya HAKUBALIKI!.
Uzuri watz wengi sasa hv hawadanganyiki, kama hayo anayoyasema Mwigulu ni kweli tungeshuhudia misururu ya wapigakura kwenye uchafuzi mkuu majuzi badala ya aibu iliyoonekana. Tafsiri yake ni kwamba huyo daktari wa mchongo samuya HAKUBALIKI!.