Mwigulu Nchemba sahau Urais 2030, Wewe ni Radical kuliko Hayati Magufuli

Mwigulu Nchemba sahau Urais 2030, Wewe ni Radical kuliko Hayati Magufuli

Declasfied

New Member
Joined
Nov 7, 2022
Posts
3
Reaction score
5
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana

Aendelee kuwa chini ya watu wengine

radical.jpg
 
Mwigulu, Makamba, Simbachawene, Kigwagala hao ni no no's. Urais wataishia kuuskia kwenye bomba tu
 
Huyo Mwigulu bado ni kielelezo cha wale washamba waliovamia siasa miaka kama kumi na tano iliyopita.
 
Mpina ni bora zaidi kuliko hawa wote......ana utulivu wa kujenga na kutetea hoja bila kuwa na mihemuko.
Hatujasahau sura yake halisi alipokuwa waziri wa mifugo na uvuvi. Ilikuwa kosa kusafirisha dagaa na hata samaki japo kwa ajili ya kula tu. Tulishuhudia pia upimaji wa samaki aliyepikwa kwa rula kitu ambacho hakijashuhudiwa popote duniani. Kwa hizo indicators tu he can't make a good leader. Hizi kelele zake za sasa ni mbwembwe tu za kuwa nje ya circle.
 
Huyo Mwigulu bado ni kielelezo cha wale washamba waliovamia siasa miaka kama kumi na tano iliyopita.
Siasa haina Ushamba!
Siasa sio fashion!
Siasa ni maisha ya kila siku!
Hizi hoja za "Ushamba" wanaozishabikia ni uzao wa wezi na mafisadi kina....

... Kinana,Nape,Makamba,Kikwete etc......
 
Ahahahahahahha eti atakuwa mkali kuliko Magufuli. Yaani nikwambie neno moja tu!

Rais Mkristo yeyote hata akijifanya mpole wakati anachaguliwa lazima awe mkali sijui kwanini aisee...nadhani huwa wanapewa vujitu vujitu na Vatican hawa jamaa. Sisi, wenye kobazi zetu waaala!

Ngoja amalize mama miaka yake 9 uje uone, au labda mambo yaharibike sana hapa katikati by Mrisho Gamboshi!
 
Hivi Nape Nauye Moses ni dini gani? Kama Mkristo, ni dhehebu gani?

Kama Muislam, ni dhehebu gani?

Kama ng'ong'ona ni ndur'ute gani?

Mwakinyobwa kutoka Kaishenyenje
 
na siku akishika urais makonda paulo nchi hii ya tanganyika itakuwa kama israel ya yerusalemu
 
Kwa mwigulu presidency is loading nawaambia,
Niwaulize ni kivipi malipo njee ya bajeti yameleta mfumuko kama mpina anavyotaka kutuaminisha
 
Ahahahahahahha eti atakuwa mkali kuliko Magufuli. Yaani nikwambie neno moja tu!

Rais Mkristo yeyote hata akijifanya mpole wakati anachaguliwa lazima awe mkali sijui kwanini aisee...nadhani huwa wanapewa vujitu vujitu na Vatican hawa jamaa. Sisi, wenye kobazi zetu waaala!

Ngoja amalize mama miaka yake 9 uje uone, au labda mambo yaharibike sana hapa katikati by Mrisho Gamboshi!
Vyovyote itakavyokuwa ni zamu ya rais mkristo

USSR
 
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana

Aendelee kuwa chini ya watu wengine

View attachment 2505555View attachment 2505556
Duh kumbe we ni mtu mkuu sana nchi hii, unaweza kumuweka mtu au kumuondoa kwenye ajenda za urais, mi nikumbuke kwenye ajenda za uenyekiti wa mtaa
 
Mwigulu hafai kwa chochote hata huo uwaziri ni by chance tu
 
Vyovyote itakavyokuwa ni zamu ya rais mkristo

USSR
Hatuna tabu na hilo, japokuwa mpunguze ukali aisee dah! Mtu kama Mkapa alikuwa mkali sana, nilibahatika kukutana na Pombe mara mbili face to face tukiwa wawili aisee!!! Jamaa hakuwa wakawaida yule!

Kamfundisha JK wetu mpaka naye anafoka na kutukana hadharani juzi hapo Dodoma!!
 
Back
Top Bottom