Declasfied
New Member
- Nov 7, 2022
- 3
- 5
Tutampa Mbowe ama Lissu.Mwigulu, Makamba, Simbachawene, Kigwagala hao ni no no's. Urais wataishia kuuskia kwenye bomba tu
Mpina ni bora zaidi kuliko hawa wote......ana utulivu wa kujenga na kutetea hoja bila kuwa na mihemuko.Mwigulu, Makamba, Simbachawene, Kigwagala hao ni no no's. Urais wataishia kuuskia kwenye bomba tu
Hivi Mkuu kwa akili zako timamu kabisa,unavyomtazama Mwigulu kweli ana adhi ya kuwa Rais wa nchi!!!Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
View attachment 2505555View attachment 2505556
Hatujasahau sura yake halisi alipokuwa waziri wa mifugo na uvuvi. Ilikuwa kosa kusafirisha dagaa na hata samaki japo kwa ajili ya kula tu. Tulishuhudia pia upimaji wa samaki aliyepikwa kwa rula kitu ambacho hakijashuhudiwa popote duniani. Kwa hizo indicators tu he can't make a good leader. Hizi kelele zake za sasa ni mbwembwe tu za kuwa nje ya circle.Mpina ni bora zaidi kuliko hawa wote......ana utulivu wa kujenga na kutetea hoja bila kuwa na mihemuko.
Siasa haina Ushamba!Huyo Mwigulu bado ni kielelezo cha wale washamba waliovamia siasa miaka kama kumi na tano iliyopita.
Mpina ni bora zaidi kuliko hawa wote......ana utulivu wa kujenga na kutetea hoja bila kuwa na mihemuko.
Vyovyote itakavyokuwa ni zamu ya rais mkristoAhahahahahahha eti atakuwa mkali kuliko Magufuli. Yaani nikwambie neno moja tu!
Rais Mkristo yeyote hata akijifanya mpole wakati anachaguliwa lazima awe mkali sijui kwanini aisee...nadhani huwa wanapewa vujitu vujitu na Vatican hawa jamaa. Sisi, wenye kobazi zetu waaala!
Ngoja amalize mama miaka yake 9 uje uone, au labda mambo yaharibike sana hapa katikati by Mrisho Gamboshi!
Duh kumbe we ni mtu mkuu sana nchi hii, unaweza kumuweka mtu au kumuondoa kwenye ajenda za urais, mi nikumbuke kwenye ajenda za uenyekiti wa mtaaMajibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
View attachment 2505555View attachment 2505556
Hatuna tabu na hilo, japokuwa mpunguze ukali aisee dah! Mtu kama Mkapa alikuwa mkali sana, nilibahatika kukutana na Pombe mara mbili face to face tukiwa wawili aisee!!! Jamaa hakuwa wakawaida yule!Vyovyote itakavyokuwa ni zamu ya rais mkristo
USSR