Mwigulu Nchemba: Serikali itaendelea kusimamia sera, sheria na miongozo inayohusu afya na lishe

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Akizungumza Mei 7, 2026 Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alisema Serikali itaendelea kusimamia sera, sheria na miongozo inayohusu afya na lishe ili kuhakikisha elimu inayotolewa kwa wananchi inalinda usalama wa afya za Watanzania

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…