Mwigulu Nchemba: Tanzania itakuwa ni moja kati ya Nchi 5 Duniani zenye Reli ya Kisasa ndefu zaidi

Mwigulu Nchemba: Tanzania itakuwa ni moja kati ya Nchi 5 Duniani zenye Reli ya Kisasa ndefu zaidi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, leo Desemba 2, 2024, amesema Tanzania itakuwa nyuma ya China, Uhispania, Japan katika kuwa na reli ya Kisasa ndefu zaidi Duniani.

Pia soma ~ Bashungwa aitaka Jumuiya ya Wahasibu Wakuu Afrika kuweka mifumo ya usimamizi wa fedha za umma
 
Hivi Nchemba, ni kwamba mnaposema uongo mnazoea kufanya hivyo hadi akili inawaambia kudanganya kwa ajili ya kila kitu? Hivi urefu wa SGR Tanzania ni lini utaulinganisha na urefu wa reli za
  1. USA
  2. China
  3. Japan
  4. Germany
  5. France
  6. Russia
  7. Argentina
  8. Canada
  9. Australia
  10. Poland
  11. Spain
Tuanzie hapo tu kwanza. Jamani nyie muwe na aibu angalau kidogo basi.
 
Back
Top Bottom