Mwigulu Nchemba: Tanzania itakuwa ni moja kati ya Nchi 5 Duniani zenye Reli ya Kisasa ndefu zaidi
Hivi Nchemba, ni kwamba mnaposema uongo mnazoea kufanya hivyo hadi akili inawaambia kudanganya kwa ajili ya kila kitu? Hivi urefu wa SGR Tanzania ni lini utaulinganisha na urefu wa reli za
- USA
- China
- Japan
- Germany
- France
- Russia
- Argentina
- Canada
- Australia
- Poland
- Spain
Tuanzie hapo tu kwanza. Jamani nyie muwe na aibu angalau kidogo basi.