DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025
Jadili Hoja iliyoko mezaniHuyu ni Waziri jangili la nchi kuliko wote
Pesa ni za mama lakini deni ni la taifa kwanini sasaWaziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza kuhusu hoa ya Deni la Taifa kwamba linazidi kukua, amesema ni vema Wananchi wakajadiliana kuhusu matumizi ya Mkopo na sio idadi ya ukubwa wa deni lililopo au linalojadiliwa.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025
Point gani pale?Jadili Hoja iliyoko mezani
Hivi kweli Mwigulu ni mtu wa kutoa ushauri kwa WaTanzania kuhusu deni la taifa na mikopo?Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza kuhusu hoa ya Deni la Taifa kwamba linazidi kukua, amesema ni vema Wananchi wakajadiliana kuhusu matumizi ya Mkopo na sio idadi ya ukubwa wa deni lililopo au linalojadiliwa.
Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025