Mwigulu Nchemba: Tujadiliane kuhusu matumizi ya mkopo sio takwimu za deni

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Your browser is not able to display this video.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza kuhusu hoa ya Deni la Taifa kwamba linazidi kukua, amesema ni vema Wananchi wakajadiliana kuhusu matumizi ya Mkopo na sio idadi ya ukubwa wa deni lililopo au linalojadiliwa.

Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025
 
Pesa ni za mama lakini deni ni la taifa kwanini sasa
 
Hivi kweli Mwigulu ni mtu wa kutoa ushauri kwa WaTanzania kuhusu deni la taifa na mikopo?
 
Syo kwa ubaya ila huwa nasema alimpendekeza jamaa kwenye wizara io nyeti alijuaa madhaifu yakeb
Walihua namna ya kumchezea keusi kekundu bila yeye kushtuka kabsa
 
Kuna vitu linafanya, ila deni likiwa linakua kuliko maendeleo wanayoona wananchi, au likikua kwa kasi isiyo ya kawaida lazima watajadili figure.
 
Huyo Waziri huwa ni hewa simwelewagi.Ni kati ya timu ya wapigaji wa nchi hii.Infact deni la taifa na kilichofanyika ni vitu viwili tofauti.Riba za madeni tu haziwezi kulipwa kwa miradi iliyopo.Hapo tunaelekea wapi sasa.🚮🚮Tumeinhizwa mkenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…