Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

Mwigulu Nchemba: Tutanunua madeni yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
“Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.”

-Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
 
Mwigulu Nchemba, watanzania wanataka kufahamu orodha ya madeni na kiasi chake yaliyowahi kukopwa kwa masharti ya kibiashara.

Pia waambie watanzania fedha hizo zilikopwa zikafanya kazi gani , lini na wapi?
 
Mwigulu kwa nini kipindi chako cha waziri wa fedha umekopa trillion 20?
 
Mbona wamekopa Trilioni 20 ndani ya miezi sita?.
 
“Tumeshafanya majaribio hata kutaka tupate fedha zenye masharti nafuu tununue madeni ya nyuma ambayo yaliwahi kukopwa commercial [kukopwa kwa masharti ya kibiashara] tuyapeleke kwenye masharti nafuu, [..] ili tuwape Watanzania unafuu.”

-Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba
Yaani ulikopa kwa riba ya asilimia 20. Unanunua mkopo huo na utalipa mkopo huo kwa riba ya asilimia 2. Mheshimiwa wetu sana anamaanisha maelezo haya??
 
Mwigu amevaa miwani kutuficha tusijue ya kuwa ni KIPOFU,

Kaikataa pia fimbo ya kuongoza vipofu, anyway Hilo shimo mbele yake litamuumbua😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom