Mwigulu Nchemba ulifanya makosa sana kuua mfuko wa road fund

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Mwigulu Nchemba ni msomi unampa wakati mgumu Mama Samia kutekeleza miradi ya barabara.

Kwasababu mfuko wa road fund ambao Magufuli aliuanzisha kwasababu ya barabara pesa zote zinazotokana na kodi ya mafuta ya vyombo vyote vya moto ziende kwenye mfuko road fund kwasababu ya barabara.

Wewe ukamua kubadilisha pesa za ule mfuko na kufanyia kazi nyingine. Bado unayo nafasi jaribu kurudisha ule mfuko Magufuli hakua mjinga hata kama mnachukia chukueni mazuri yake.

Sasa hivi unampa wakati mgumu Mama Samia Rais wa nchi na wakandarasi kiujumla unayo nafasi ya kubadilisha haya
 

Tatizo ni ufisadi tu hakuna cha hili wala lile. Muradi yote pesa zanaliwa magari hayatengenezwi na walaji ni hao hao wanunuzi ! Mawaziri. Mtu anafukuzwa mwendokasi anapelekwa kupiga deal nyingine sasa eti waarabu waje kuendesha shirika wakati makampuni kibao ya mabasi
 
Sikupingi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…