Mwigulu Nchemba, umechagua strategy mbaya kurudi ulingoni

Ila hata mimi nimepita complex mkuu, namjua mwigulu, yuko Smart aisee.
Mpe haki yake wakati wewe unatafuta yako.
 
Matarajio yako nini? Madelu asipandishwe wadhifa? Umeumia alivyoteuliwa? Ulifurahia alipoondolewa kwenye Uwaziri?
Nikwambie Madelu bado kijana and good enough ume declare kuwa yupo smart kichwani kwa umri wake bado ana ndoto nyingi! Muache apige kazi hata jeshini Kuna kitu kinaitwa kitendo cha kujijenga upya! Fuatilia kwa waliopitia JKT au Jeshi nini maana ya kitendo cha kujijenga upya na wakati gani kitendo hiki hutokea
Bravoo Mwigulu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Politics is a real business
Sent using Jamii Forums mobile app
 
What does it mean to be a politician?? Nchemba is a consummate lier and a Master of Deception!! He plays court politics well and this and only this carries him to power heights.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hujaelewa
 
Ndiyo maana hata rais kamuapishia Bar, maana yake hamna mtu pale debe tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bomu la olasiti limesahaulika. Hili SHETANI linahusika. Umoja wa mwigulu na pombe no hatari kuliko korona wote ni wachawi ila bashite ajiandae amepata mbadala. No more blackmailing bashite you are now replaceable. Wazee was nyungu wamekutana
 
Very well said !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwenye hili baraza kuna likitu takataka kabisa zaidi ya hilo kwanza vyeti feki chawi shirkina etc , hamna mtu humo period
 
Watanzania aminini - Rais Dkt John Pombe Magufuli atatuachia mrithi mwenye haiba ya uongozi na mzalendo
 
Huyu jamaa ni dikteta aishiee hapo hapo biashara yake iishie na jiwe.
 
Hapa wanapambania tumbo tu,huwa nashangaa waziri mzima kupambana mitandaoni
 
Kumwambia mwigulu Mchemba kuwa smart ni kumvisha kilemba cha ukoka msamiati sahihi ni crafty
Baada ya kuikosoa na kuikanyaga waraka wa bajeti wa upinzani uliotolewa na Zito basi JK akiwa desperate akaona amepata silaha na kumpa vyeo na career yake ikaanza.
Through out karata yake ni kupambana na upinzani tuu na hakuna wizara yoyote aliyopewa aliweza kuimudu.
Mwigulu ni bootlicker hana uwezo hata kuongoza 10*10 bila agenda ya upinzani au kumsifia Mfalme
 
Kweli hawezi mjua mwigulu kama ambavo anajijua yeye mwenyewe,lakini amezungumza yanayoonekana kwa mwigulu

HUWEZI KUFICHA KILA JAMBO
 
Mwigulu Nchemba ni kati ya watu wanaombea matokeo mabaya ya afya ya Meko. Hizo mbwembwe zake nyingine Ni kuwahadaa watu na wenye Mamlaka wamuone kuwa ni mzalendo kwa ajili ya nafasi za baadaye.
 
Huyu Mwigulu alishawahi kumsingizia Professa Kitila Mkumbo,MNYIRAMBA mwenzake, kesi ya mauaji huko Singida.Huyu jamaa kwenye kusaka mkate hana undugu!
 
Chunguza hili kuhusu Mwigulu Nchemba;
1. Alipokuwa naibu katibu mkuu wa CCM, ndo kipindi ambacho wapinzani wengi waliuawa, mfano mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA pale Soweto. Na wafuasi mbalimbali kutekwa na kuuawa nchi nzima. Mmoja wapo Mawazo huko Geita.
2. Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani ndo kipindi ambacho watu wengi walitekwa mfano kina Roma na wengi kuuawa na 'watu wasiojulikana', Walikuwa wakiokotwa kwenye viroba huko baharini na mto Ruvu, yeye alikuwa anajibu kuwa watu hao ni waethiopia waliokuwa wanakufa baharini wakijaribu kuzamia nchi za nje, swali Ina maana toka yeye aondoke wizarani wahabeshi hawazamii Tena nje ya nchi Wala kufa? Mbona hatuoni watu wakiokotwa kwenye viroba Tena? Mwenye akili anajua hili. Na hata Tundu Lissu alipigwa risasi kipindi hiki akiwa waziri wa mambo ya ndani. Lakin toka alivyoondolewa kwenye wizara ya mambo ya ndani hujasikia tena mtu ameuawa kwaajili ya siasa au ametekwa. Lawama nyingi alikuwa anaelekezewa Meko wakidhani yeye ndo nyonganyonga kumbe ni huyu jamaa.Kifupi.. Mwigulu Ni kiumbe mwovu Sana, na yeye anajua hilo. Anatamani kuja kuwa rais wa nchi hii.. MUNGU tunaomba utuepushe!!
 
You said it all brother. Huyu jamaa hafai kabisa . Sio kiongozi mzuri. Na tena ana element za ubabe. Sio mtu wa hoja. Yeye Anapenda kugandamiza mawazo huru. Ndio alimshauri JPM bungeni kuwa hakuna haja ya kutoa data. What a bad mentality. Akiwa mkuu zaidi ataficha mangapi??? Kila siku anatoa vitisho huko mtandaoni. Hii ni dalili ya incompetence of highest order ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…