Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba Vs Kiltila Mkumbo jimbo la Iramba Magharibi

Huo uwezo Hana...na hataupata hata akipata PHD 20.
 

Swali la mipasho hupata jibu la mipasho Mayala. Ukitaka Econometric Analysis lete maada ya Uchumi sio mipasho.
MG
 

Unamhitaj wewe na familia yako, huyu kada wa Act wazalendo anaanzaje ishinda ngome ya CCM? Kitila a.k.a piere endelea kuchapa kaz wizarani mzee sawa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni tapeli na mwizi taarifa zake tunazo kwao aliambulia kujenga kilabu cha pombe. Ana roho mbaya sana huyu hawezi kuwa mbadala wa Mwigulu. Mwambieni aendelee na wizi wake kwenye ukatibu mkuu
ETI mkuu ilikuwaje Jpm akamtema Mamba
Alituambia ni mtu WA hovyo hovyo
 
Wote hawamo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la mipasho hupata jibu la mipasho Mayala. Ukitaka Econometric Analysis lete maada ya Uchumi sio mipasho.
MG
Mayu karibu Simbalungwala leo - tunapanga Timu ya kumtafuta Mbunge atakayetufaa Iramba - shirikiana nasi ili tupate mtu mzuri ambaye utamkabidhi na wewe ujiandae kwa Urais 2025 - tunakuomba kwenye Timu yetu - wewe na Kitila mnatuchosha na mipasho yenu na hata Jiwe anawaangalia tu na mwishowe atawashangaza wote manake hapendi wateule wake kulumbana!
 
Hilo jimbo ni la Prof Kitila.......kwa namna ile ya Kigwangalla 2010!
Mwigulu aongeze tu mashamba ya alizeti labda Jiwe akatwe kugombea Jiwe for Kitila,Mwigulu for asilia.Hapo itategemea nguvu ya atakaekuwa mpitishaji Kama ni mwenyekiti au NEC
 
Labda kura ipigiwe jf na WhatsApp, Ila kwa Iramba, akipata hata nusu ya kura zangu nawambia Chama changu wamtangaze kuwa ndio mshindi. "NI HESABU MBAYA SANA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI"
Ukisha tubia uliyo watendea Watanzania ambayo hayampendezi Mungu labda ata pokea maombi yako. Ila kumbuka kuna saa mamba hutoka nchi kavu na mkia wake huisha nguvu. Sasa wewe ni mmba wa nchi kavu. Utauwawa na mtoto mdogo anae mcha Mungu..
Kwa taarifa yako jina lako halivuki mkoani acha kupigiwa kura na halmashauri kuu. Na huyo unae sema akipata nusu ya kura zako utasema apewe ubunge elewa sio mpinzani ni Ccm mwenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie!
 
Nafurahi kusikia watu wenye sifa kubwakubwa wakitajwa kutaka kugombea. Hii inaleta amani kwa sisi wengine tulio mbali kidogo na eneo la tukio. Awali, wengine walikuwa wakitushutumu kwa nini hatutangazi nia; nini faida sasa ya kutusomesha; tunainyima Iramba fursa ya kutoa viongozi wa kitaifa, n.k.
 
Kama jina lipi Mkuu ulilovutiwa nalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…