Na declare interest. Mama yangu ni mzaliwa wa jimbo hili. Ubunge si Mali ya mtu mmoja na hivyo Mwigulu sio mfalme wa jimbo letu. Amekata miaka kumi bila bila. Kitila ndie hasa anaefaa kwa utulivu wake, Sharp in decision, reasoning and cooperative. Mwigulu umeua mkoa kwa kuiua timu yetu Singida United. Kumi tosha Mwigulu kaa pembeni hata fomu usichukue kama unatuheshimu wana Iramba.