Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji wa gridi na hilo ndilo ambalo serikali inalifanya."