Mwigulu ni kirusi kwenye soka letu

Mwigulu ni kirusi kwenye soka letu

kuwa na mawazo na mtazamo wa eti mtu Fulani ni tatizo la soka mahali fulani ni upotoshaji 🐒

mambo ya socar yamebadilika, football imebadilika uwanjani hadi nje ya uwanja. Football imekua biashara kubwa na inayolipa sana Duniani 🐒

Imani potofu, ushirikina na uchawi, visicheleweshe mafanikio ya socar Tz, nadhani vibaki huko huko vijijini 🐒
Ongea facts siyo bla bla
 
Ni ujinga kuharibu timu za kwenye ligi,mtu hana plan anarukia kununua na kuacha,mbinu za kujinga za kuharibu timu ndogo ndogo
ukiwa mgeni kwenye biashara ni changamoto 🐒
 
Naona anasambazi timu Kila Kanda sijajua malengo yake

🔹 Moja kahamishia Mwanza

🔹 Nyumbani kaleta Moja

🔹 Mji wa kibiashara ndio penyewe

🔹Kusini nako ipo
 
My personal conscious tells me that Lameck,isn't a good person,nashangaa kwa nini anashikiliwa na mama hivi.
 
Naona anasambazi timu Kila Kanda sijajua malengo yake

🔹 Moja kahamishia Mwanza

🔹 Nyumbani kaleta Moja

🔹 Mji wa kibiashara ndio penyewe

🔹Kusini nako ipo
Ana mkono karibia timu 4, tusishangae match fixing
 
My personal conscious tells me that Lameck,isn't a good person,nashangaa kwa nini anashikiliwa na mama hivi.
Mkuu ni kweli jamaa ni mpigaji mkubwa sana
 
anaweza inunua hata Simba mkabaki na kuwaza ushirikina tu huku mkijua socar ni biaashara 🐒
Unajua sheria za mpira? Hayo mambo ndo yaliyofanya TFF kumleta GSM awe mdhamini mwenza wa ligi ,watu walipiga kelele na wakasitisha.

Unadhamini club ligi kuu halafu unataka udhamini ligi, maana yake ni nini kama siyo kufanya fixing?TFF angeadhibu vipi Yanga wakati boss wa Yanga ndo mdhamini wa ligi? Mwigulu kupita kwenye timu kama nne kwenye ligi ina maana gani kama si upangaji matokeo?
 
kwan Rais karia wa TFF ambae pia pia mwanachama wa simba na mkereketwa kindakindaki wa simba anafanya nini TFF 🐒

Yanga na timu nyingine wangekua wana Imani potofu na ya kishirikina na kichawi kama yako, tungekua wap sasa ivi kisoka 🐒

ni kwasababu hawaamini kujenga generation ya soka katika mtu, bali mipango, mikakati na vision ndio maana hawamuangalii na wala hawababaiki na Karia .

wangekua wanaamini kama wew ati mtu Fulani anaweza vuruga kitu fulani kwenye soka, tena la nchi nzima basi tungekua kichwa cha mwendawazimu daima 🐒

soka la kisasa ni biashara, soka la kisasa ni mipango, soka ni mikakati, soka ni ajira, soka ni uchumi 🐒

hayupo wakuvuruga soka la Tz kwa sasa 🐒
 
Back
Top Bottom