Ongea facts siyo bla blakuwa na mawazo na mtazamo wa eti mtu Fulani ni tatizo la soka mahali fulani ni upotoshaji π
mambo ya socar yamebadilika, football imebadilika uwanjani hadi nje ya uwanja. Football imekua biashara kubwa na inayolipa sana Duniani π
Imani potofu, ushirikina na uchawi, visicheleweshe mafanikio ya socar Tz, nadhani vibaki huko huko vijijini π
anaweza inunua hata Simba mkabaki na kuwaza ushirikina tu huku mkijua socar ni biaashara πOngea facts siyo bla bla
ukiwa mgeni kwenye biashara ni changamoto πNi ujinga kuharibu timu za kwenye ligi,mtu hana plan anarukia kununua na kuacha,mbinu za kujinga za kuharibu timu ndogo ndogo
Hivi huyo ngeder wako umemtoleag wapiukiwa mgeni kwenye biashara ni changamoto [emoji205]
mie mnyonge nisie stahili, na neno na mtu basi πHivi huyo ngeder wako umemtoleag wapi
Unajua sheria za mpira? Hayo mambo ndo yaliyofanya TFF kumleta GSM awe mdhamini mwenza wa ligi ,watu walipiga kelele na wakasitisha.anaweza inunua hata Simba mkabaki na kuwaza ushirikina tu huku mkijua socar ni biaashara π
Unyiramba UnitedTutegemee Ihefu kubadilishwa jina na kuitwa Singida Mji FC
kwan Rais karia wa TFF ambae pia pia mwanachama wa simba na mkereketwa kindakindaki wa simba anafanya nini TFF πUnajua sheria za mpira? Hayo mambo ndo yaliyofanya TFF kumleta GSM awe mdhamini mwenza wa ligi ,watu walipiga kelele na wakasitisha.
Unadhamini club ligi kuu halafu unataka udhamini ligi, maana yake ni nini kama siyo kufanya fixing?TFF angeadhibu vipi Yanga wakati boss wa Yanga ndo mdhamini wa ligi? Mwigulu kupita kwenye timu kama nne kwenye ligi ina maana gani kama si upangaji matokeo?