Umepewa hela ngumu sana ya uchawa. Ni hivi, watu wanamdharau Mwigulu kwa kujifanya kumuiga Magufuli. Magufuli hakuwa kiongozi mzuri, bali katili na mpenda sifa. Sana sana alifanya vizuri kwenye miundombinu. Mwigulu aache siasa za kizamani, wezi wako kwenye ripoti ya CAG, kama anawaweza aende huko.1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.
Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.
3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.
MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.
Magufuli hakuwa kiongozi mzuri lakini badi kumfananisha na mwigulu ni kuendelea kumdhihaki magufuli maana uwezo wa mwigulu ni mdogo sana sana kwa kula kitu ukilinganishwa na magufuli1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.
Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.
3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.
MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.
Usimlinganishe Magufuli na vitu vya kipumbavu.1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.
Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.
3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.
MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.View attachment 3554137
🚮Mwigulu ni tumaini jipya la Watanzania
Magufuli mpya? Nani anahitaji?1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.
Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.
3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.
MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.View attachment 3554137
Tayar mmeamzisha agenda ili kula pesa!!1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.
Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.
3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.
MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.View attachment 3554137
Sending. Umepoteza muda kuandika pumba.1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.
Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.
3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.
MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.View attachment 3554137
Naunga mkono hoja Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.
2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%.