Mwigulu ni tumaini jipya la Watanzania

Mwigulu ni tumaini jipya la Watanzania

Kwamba wale majizi anaowazungumzia wapo kwenye ripoti ya CAG akaanze nao wale ili apigiwe vigelegele vizuri si ndio?
😂 Exactly, maana hata Magufuli naye alikuwa anajinasibu kupambana na majizi, ila akamtoa CAG kwenye nafasi yake, badala ya kufanyia kazi ripoti zake!
 
Sasa na yeye akachukue ile ripoti kisha aalale mbele na yale Majizi yaliyopo kwenye ripoti ya CAG itakua vizuri akifanya hivyo ili apigiwe makofi vizuri si anawatetea wananchi aanze humo kwenye ripoti au anawaogopa?
 
Kukamatwa kisa ulikuwa unamiliki Radio kwa hela zako nao eti ni uzalendo na kuwatetea wanyonge.

Kama ilikuwepo miaka hiyo basi na wewe ni tatizo kwa kuwasifia hao watu waliodhulumu Mali za watu

Mkoloni aliacha kila kitu kuanzia rasilimali zetu mpaka hela nyingi
Wakakabidhiwa wakaanza ooh tunaikomboa Africa kwa mkoloni
Hela zilipoisha na umasikini na dhulma zikaanza

Leo hakuna nchi ya Africa inayotujali
Ukiherehere tu
 
Mlemavu mada itakuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ndio ulikuwa uchaguzi wako wa kwanza kupiga kura!
 
Sasa na yeye akachukue ile ripoti kisha aalale mbele na yale Majizi yaliyopo kwenye ripoti ya CAG itakua vizuri akifanya hivyo ili apigiwe makofi vizuri si anawatetea wananchi aanze humo kwenye ripoti au anawaogopa?
Hana lolote, ndio maana anaokota wajinga wachache. Lakini watanzania wengi wanaojitambua wanamchora tu.
 
Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.
To be honest, I don't believe kama kuna watu wanakaa vikao kumdhuru ili asiwe rais baada ya Samia, kwasababu rais wetu wa baada ya Samia, tayari yupo, hivyo hakuna mtu wa kuhangaika na kukaa vikao vya kumdhuru mtu!.
Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida,
Ni kweli Watanzania tuna shida, ila watu wa Singida wana shida zaidi!
ni kweli tumeonewa sana,
Ni kweli Watanzania tumeonewa sana, ila watu wa Singida wameonewa zaidi!
ni kweli tunadharauliwa,
Ni kweli Watanzania tunadharauliwa sana ila watu wa Singida, wanadharauliwa zaidi na kiukweli itakuwa ni ajabu Mnyaturu au Mnyiramba akawa rais wa nchi yetu!
huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.
Usiwe na wasiwasi, rest assured hakuna mtu wa kumgusa!, ila kama uamuzi wa the deep state, then, there is nothing you can do, kumlinda, ni anaondoshwa ndani ya dakika sifuri!, kama yule mwamba, jiwe, jabali, chuma cha pua, aliondoshwa, who is this guy compared?!, tena huyu mchunga mbuzi asiyeweza hata kutofautisha fisi na chui, kwasababu wote wana madoa doa!, kama ni kuondoshwa, anaondoshwa tuu ndani ya dakika sifuri!.
P
 
Huyu ndio Pascal Mayalla ninaemkubari anapiga juu kisha anapiga chini, salute kwako mkuu
 
1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.

Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.

2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.

3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.

MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.

Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.View attachment 3554137
Huyu huyu madelu ambaye watu wakitoa maoni, anakimbilia TCRA
 
Babako naye anakaa anajisifia kwa wenzie kuwa kasomesha!
 
uko sahihi 100%:KasugaYeah:
 
Peleka upumbavu wako uko Magufuli toka akiwa waziri au naibu waziri uzalendo wake haujawai kutiliwa shaka huyu team mtandao Mwigulu anaeigiza mwacheni aendelee na maigizo Kasimu Majaliwa alikua mzalendo na Mpango mkawaletea zengwe mpaka Majaliwa mkamwekea naibu waziri kisa mzalendo huyu Mwigulu ni team Jk na kafika hapo kwasababu ya Team mtandao sasa kwasababu wamechonga icho kinyango kuigiza Magufuli sisi tunajua
 
Magufuli hakuwa kiongozi mzuri lakini badi kumfananisha na mwigulu ni kuendelea kumdhihaki magufuli maana uwezo wa mwigulu ni mdogo sana sana kwa kula kitu ukilinganishwa na magufuli
Ndo maana Magufuli alimfukuza Mwigulu kwenye baraza lake la mawaziri baada ya kujua mwizi na fisadi team mtandao Magufuli mpaka anakufa Mwigulu alikua na cheo gani?
 
1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais, alikuwa na mamlaka ya mwisho akafanya kama haya anayofanya MWIGULU na mengine makubwa kuliko haya. Mwigulu anayafanya haya akiwa Waziri Mkuu, hana mamlaka ya mwisho.

Kwa hakika, natamani kumwona Mwigulu akiwa na mamlaka kamili. Naona akiwa exactly Magufuli au zaidi ya Magufuli huyu.

2) Wengine wanamfananisha na Nyerere kuhusu kuguswa kwake na matatizo ya wanyonge. Huyu ni Nyerere 100%. MWIGULU ana hisia za moja kwa moja na maisha ya masikini. Hana tamaa za kujilimbikizia mali tofauti na viongozi wengine; ukiwauliza wanaoishi naye utabaki na mimi. Mpaka sasa hakuna kiongozi Tanzania amesaidia familia masikini, watoto masikini na kuyabadilisha maisha yao kama Mwigulu.

3) Wengine wanamfanisha Mwigulu na Sokoine. Ni kweli kwa ngazi ya Mawaziri Wakuu. Ukimwondoa Sokoine na kidogo Lowassa, hakuna Waziri Mkuu ametokea wa kufanya maamuzi hata ya jambo ambalo hata mwenyekiti wa kitongoji angeweza kuamua. Wote watangulizi wa Mwigulu ni ngojera tu; waliacha mambo yote yaamuliwe na Marais wao. Magufuli alikuwa anafanya kila kitu, Waziri Mkuu alikwepo kama Naibu Waziri tu, jina likiwa ni Waziri Mkuu.

MWIGULU ametuliza nchi kwa mambo ambayo watu walikuwa wakiwaza Rais atafanyeje. Najua wanaokasirika wanaona Watanzania wanaweza kutaka Mwigulu awe Rais baada ya Samia huko 2030. Kwa tamaa zao inawauma, ndiyo maana wanakaa vikao vya kumdhuru.

Lakini sisi kama Watanzania tunawambia: ni kweli tuna shida, ni kweli tumeonewa sana, ni kweli tunadharauliwa, ni kweli tuna shida. Ni kweli anatutatulia shida zetu huyu MWIGULU. Tutamlinda kufa na kupona—msijaribu kumgusa.View attachment 3554137
Usikute wewe ni Mwigulu mwenyewe
 
huu uzi nimeufungua kwa kinyaa
 
Back
Top Bottom