PostGE2025 Mwigulu propaganda zako tumezikataa, watanzania wa leo si wajinga kama unavyofikiria

PostGE2025 Mwigulu propaganda zako tumezikataa, watanzania wa leo si wajinga kama unavyofikiria

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Joined
May 4, 2024
Posts
37
Reaction score
190
Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
1. Ofisi za Serikali 756
2. Vituo vya mwendokasi 26
3. Vituo vya Polisi 159
4. Vituo vya mafuta 672
5. Magari Binafsi 1642
6. Pikipiki binafsi 2268
7. Magari ya Serikali 976

Cha ajabu hadi sasa hajui ni wangapi wamekufa, na kakomaa tu na kauli kwamba tunahujumiwa kiuchumi. Sasa tuwaze, hao mabeberu ndo wanateka watu, ndo walimpiga risasi Lissu, ndo wanaoonea wakosoaji wa serikali mtandaoni, ndo wanaofanya ufisaji wa kutupwa na kuishi maisha ya anasa? ndo wanaobambikia watu kesi? ndo wanaotapanya mali za wananchi wanyonge wa Tanzania kwa kujineemesha wenyewe?

Watanzania wa sasa si wale mliozoea kuwadanganya kwamba ukichagua upinzani kutatokea vita, kwamba CCM ndiyo baba yao, kwamba bila CCM nchi itakufa.

Kila baada ya dakika moja unazungumzia kuhusu rasilimali, kwamba wanatuonea wivu. Hivi hizo rasilimali zinamsaidia nini mtanzania wa kawaida zaidi ya ninyi kujineemesha tu? Endeleeni na denial yenu, mkimaliza danadana tunakomaa na ninyi tena.

Mwigulu usitufanye sisi ni wajinga. Safari hii tutaelewana tu.
 
Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
1. Ofisi za Serikali 756
2. Vituo vya mwendokasi 26
3. Vituo vya Polisi 159
4. Vituo vya mafuta 672
5. Magari Binafsi 1642
6. Pikipiki binafsi 2268
7. Magari ya Serikali 976

Cha ajabu hadi sasa hajui ni wangapi wamekufa, na kakomaa tu na kauli kwamba tunahujumiwa kiuchumi. Sasa tuwaze, hao mabeberu ndo wanateka watu, ndo walimpiga risasi Lissu, ndo wanaoonea wakosoaji wa serikali mtandaoni, ndo wanaofanya ufisaji wa kutupwa na kuishi maisha ya anasa? ndo wanaobambikia watu kesi? ndo wanaotapanya mali za wananchi wanyonge wa Tanzania kwa kujineemesha wenyewe?

Mwigulu usitufanye sisi ni wajinga. Safari hii tutaelewana tu.
Kwa hiyo kwake Mali ni kikubwa kuliko Uhai na wakati chanzo ni wao wenyewe
 
Lake oil ndiyo ililengwa zaidi na walisema ni vituo vyao 38 pekee vimeteketea! Je hivyo zaidi ya mia sita ni vya kampuni zipi?
 
vituo vya Mwigulu na Mabasi yake ya Esther Luxury
 
25 November 2025
Iringa, Tanzania

PSYCHOLOGIST CALLS ON LEADERS NOT TO NEGLECT YOUTH


View: https://m.youtube.com/watch?v=epGFoDjpN2U

By Herieth Molla, Iringa Psychologist Leonard Mgina has urged leaders in the country to identify the type of citizens they are leading during this period, so that they can achieve their goals and produce positive results for the nation.

Mgina said the current world is dominated by a large group of young people, and here in Tanzania, young people are estimated to be more than 70 percent of all citizens with most of them facing the challenge of unemployment and income, a situation that makes them lack stability in life.

Mgina noted that these challenges have caused many young people to lack direct responsibilities and thus find themselves in a state of despair or doing things without attention because "they have nothing to lose."

He said this situation is the cause of young people appearing to be "disturbing" various parts of the world due to the lack of opportunities for economic self-reliance.In addition, he has advised the government to collaborate with financial institutions, especially banks, to set up simple credit systems for youth to enable them to earn income and start economic activities, noting that this step will build responsibility among youth and prevent them from losing what they have worked so hard to achieve.

He has also warned leaders not to ignore the youth group, giving examples of other nations that have faced social unrest due to the neglect of this group, including the current generation of youth known as Gen Z,Mgina has concluded that the future of any nation is in the hands of the youth, so if it is not given priority, it can be a source of great challenges now and in the future
 
Mwigulu Yuko nyuma ya wakati anadhani tupo 1992
 
Back
Top Bottom