PostGE2025 Mwigulu punguza press, be professional. Kila siku press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?

Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa.

Move on!
 
PM Anatumika Vibaya Sijui Hajui Watu Wapwani Awatazame Vzr Hicho Cheo Atazame Walio Pita
Acha ujinga, nchi hii hatujafanya uchaguzi hatuna rais wala takaka yoyote.

Hayo mambo yao ccm msiyalete humu.

JF imefungiwa na ccm, majafili ujinga huu huko kwenye ma group ya ccm.

Tukifanya uchaguzi tutamchagua rais na wabunge, hilo halijafanyika hatuna rais, bunge wala pm.

Hata serikali ya mtaa hatuna kwa mujibu wa sheria..

Huyo msemaji wa ccm.
 
Nothing New; Same Playbook ambayo aliitumia sana Trump - Unapigwa News ya ajabu wakati bado unajiuliza nini kimetokea unapigwa nyingine by the time unashangaa what has happened miaka imepita and nothing has been done.....

Steve Bannon - Former White House Chief Strategist under Trump;

“The Democrats don’t matter,” “The real opposition is the media. And the way to deal with them is to flood the zone with shit.”

 
Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?

Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa.
Dr. Mwigulu Nchemba sasa amegeuzwa kua pressure cooker au incubator kimkakati zaidi anaongeza moto pale jikoni, 9D muda sio rafiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…