Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Bora umeoana huo udhaifu, hadi unaweza kudhani unaangalia marudio. Maneno yake mengi ni yale yale, bora hata yangekuwa na maana sasa.Mwigulu Nchemba ameshageuzwa kasuku anachoweza ni kurudia maneno yale yale aliyokaririshwa na Samia .