Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Nov 26, 2025 #21 CHIEF PRIEST said: Mwigulu Nchemba ameshageuzwa kasuku anachoweza ni kurudia maneno yale yale aliyokaririshwa na Samia . Click to expand... Bora umeoana huo udhaifu, hadi unaweza kudhani unaangalia marudio. Maneno yake mengi ni yale yale, bora hata yangekuwa na maana sasa.
CHIEF PRIEST said: Mwigulu Nchemba ameshageuzwa kasuku anachoweza ni kurudia maneno yale yale aliyokaririshwa na Samia . Click to expand... Bora umeoana huo udhaifu, hadi unaweza kudhani unaangalia marudio. Maneno yake mengi ni yale yale, bora hata yangekuwa na maana sasa.
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,061 Reaction score 21,592 Nov 26, 2025 #22 CHIEF PRIEST said: Mwigulu Nchemba ameshageuzwa kasuku anachoweza ni kurudia maneno yale yale aliyokaririshwa na Samia . Click to expand... Hadi huruma
CHIEF PRIEST said: Mwigulu Nchemba ameshageuzwa kasuku anachoweza ni kurudia maneno yale yale aliyokaririshwa na Samia . Click to expand... Hadi huruma