GE2025 Mwigulu: Rais amevunja rekodi fedha za maendeleo mikoani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Tangu uingie uongozi wako [Rais Samia], fedha zimekwenda mikoani kwa wingi ambao haujawahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru. Hicho ni kipimo kwamba nchi inaongozwa na kiongozi mwadilifu ambaye anatumia vyema rasilimali za taifa hili." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi mkoani Singida
 
Rekodi pekee aliyovunja na anatamba nayo ni ya KUKOPA!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…