Tukubali CCM wamefika mwisho. Huu n8 mwendelezo wao wa kushindwa kuibua na kubuni vyanzo vipya vya kodi na kuendelea kukandamiza wananchi. Kodi za miamala,kodi za majengo kupitia luku ni mwendelezo wa ukandamizaji wa wananchi.
Sasa hii ya miaka 18 haitekelezeki hata wafanyeje. Huyo anayemsema mwenye kipato tayari anajulikana ndo huyo mwenye TIN na anayefanya biashara rasmi sasa hao wengine ni wapi?. Anashindwa kujua kuwa hao wote wasio na vipato na wenye vipato wanalipa Kodi via huduma na manunuzi. Sasa hapa uawatofautishaje? Hata kama TIN itakuwa lazima itakuwa kazi bure. CCM mmechoka.