Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimemsikia Mwigulu anasema kwa kujigamba kwamba benki ya dunia inafanya tathimini sasa kama bado tunastahili kuitwa nchi masikini.
Hivi ni kweli Mwigulu afahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wengi mpaka aisuburie benki ya dunia kumwambia?
Benki yenyewe ya dunia kuna mambo huwa inapotoka sana mfano hili la kuzifawa nchi katika makundi mbalimbali ya kipato. Benki ya Dunia inatuambia nchi ambazo raia wake wana wastani wa kipato kati ya $1100 hadi $4500 kwa mwaka tayari ziko uchumi wa kati, yani nchi ambayo wastani wa kipato cha mwananchi kwa mwezi ni kati ya laki mbili na nusu hadi laki tisa na nusu hiyo ni nchi ya uchumi wa kati!
Sasa tuambiane tu ukweli mtu mwenye kipato cha TSh 250,000 kwa mwezi ambapo sisi ndipo tulipo kwa sasa anawezaje kuacha kuwa masikini? Laki mbili na nusu Tanzania ya leo inaweza kumtosha mtu kupata chakula cha maana, nishati, mavazi, usafiri na pesa ya matibabu??
Mwigulu ni waziri mwenye majigambo mengi ya ajabu ajabu sana yasiyo na mashiko yoyote.