Mwigulu soon out

Mwigulu soon out

Acha waishi wapendavyo kwa maana hata sauti za wananchi hazina msaada kwao juu ya kuendesha nchi( WATAWALA WAMEKUWA MIUNGU WATU WANACHOJALI KESHO YAO TU). Yupo kwenye team ya walamba asali -Atoki hapo.
 
Nchi ya wa tabiri kutoka hayati sheikh Yahya Hussein
 
Ukiuliza mikopo unaliwa kichwa na anaeomba ni yeye na anaeidhinisha anamkubali
Keep dreaming buddy
Nchi hii inataka unafiki sana ili uishi we angalia hata maisha ya kawaida tu
 
Hata Mimi na wish hivyo lkn ndo wishes only! Ni mwana mpendwa wa msoga huyo! Mpaka za uvunguni wanasema Mzee alianzia kazi singida! Sasa alipokuwa huko singida ...... Aiseeee acha tuu
 
Back
Top Bottom