kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Ukiwa kama mdau wa michezo na shabiki wa kutupwa wa Yanga.Na kama ulivyolifafanua suala majina yako tukaridhika.Sasa kuna hili la Kocha Yanga,juzi vyombo vya habari viliandika Mwigulu afanikiwa kumrejesha Hans pluijm.Mara tunasikia Lwandamina yu aja.Viongozi waandamizi wako kimya labda wanasubiri m/kiti atoe tamko.Tafadhari tuweke wazi......