Mwigulu: Tufunge Camera uwanjani kukomesha ushirikina

Mwigulu: Tufunge Camera uwanjani kukomesha ushirikina

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza uwanja wa mpira wa miguu Arusha ufungwe kamera nyingi ili kukomesha vitendo vya ushirikina ndani ya uwanja.


 
Ili jambo ameliongea kama waziri mkuu au Kama Mwigulu nchemba
 
Wakaanze kutupatia footage za kupigwa risasi TAL pale Dodoma nani aling'oa camera na alizipeleka wapi.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza uwanja wa mpira wa miguu Arusha ufungwe kamera nyingi ili kukomesha vitendo vya ushirikina ndani ya uwanja.

 
Back
Top Bottom