Mwigulu, tumekusikia. Unakerwa na Wizi wa Pesa za Umma kweli?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
Heshima yako mkuu Dr. Mwigulu Nchemba,

Nimeona hii post:

View: https://www.instagram.com/reel/DTfqcDJDJox/

Naomba tambua kuwa:

PCCB wanajua, TISS wanajua na kwa taarifa yako - cha kuwafanya wahusika ndo hakuna.

Ni mtandao mpana sana. Mtandao huu wa Wizi wa Pesa za Umma umejichimbia mizizi na wengi waliothubutu kuugusa mtandao huo huishia kuuawa au kufukuzwa kazi.

Mfano, kasoma ilivyo detailed hapa - Mtandao wa Wizi ndani ya Wizara ya Fedha - Imevuja!

Kwenye vyombo taarifa wanazo, shida ni nani wa kumfunga paka kengele.
 
Esther Coach yatosha!
 
Mwigulu muhuni tu.hana lolote
 
Back
Top Bottom