Ukweli usemwe TU 😂.
Kwenye katiba ya TANZANIA, haijampa mtanzania mzawa haki ya kumiliki shughuli zozote zile za kiuchumi .
Kwenye marekebisho ya katiba hili swala la wa Tanzania wazawa kumiliki shughuli za uchumi lipewe priority #1.
Awe mwana siasa, mfanya Biashara, mwalimu, mkulima,mvuvi , etc wawe na haki ya kumiliki shughuli za uchumi Kwa ukweli na uwazi na kulipa kodi.
Wasiogope kuwa matajiri, na kuwapelekea kuficha pesa nje ya Nchi