Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi unapoteza kani na sijui hii itakusaidia vipi kuongeza wigo na mapato ya kodi.
Kama ni matakwa yako mwenyewe na mileage za kisiasa sasa nakuhakikishia kuwa hutataboa Awamu ya Sita hii hata kama inamchukulia Mama ni mpole lakini si kilivyo, usidhani wewe kuteuliwa kuwa FM hakuna wengine.
Hiyo siyo wizara ya publicity ya kuteua teua celebrities na influencers kama Utalii huko mnakookoteza watu kuwa mabalozi. Hii ni wizara serious sana, backbone ya wizara zote. Haitaki mbwembwe inahitaji mipango ya kuonekana.
Mama Samia Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tafadhali mbadilishie majukumu waziri wako, tunajua unampenda ila yeye hakupendi na haipendi mama Tanzania.
View attachment 1826490