ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
AiseeeAlipokuwa waziri mlimuona mungu, sasa kapuku matusi yameanza, kufeni na hali yenu
😱.Alipokuwa waziri mlimuona mungu, sasa kapuku matusi yameanza, kufeni na hali yenu
Msimu huu Singida United itakuwa timu ya kawaida sana, itapambana na kushuka daraja, Mwigulu amevuliwa madaraka na JPM, Wafadhili wanakimbia, hali kifedha choka mbaya, key players wote mmegawa hata kumlipa kocha Moroco tabu, mtapambanavna hali yenuSingida wachezaji wamekimbia njaa... Hakuna wa kuwalipa mshahara..Mohamed Dewji kawatosa..Mwigulu choka mbaya hela hana anauza sura tu
😳😳😳😳Alipokuwa waziri mlimuona mungu, sasa kapuku matusi yameanza, kufeni na hali yenu
Sheria haziruhusu kumiliki vilabu viwili ndani ya ligi moja ikumbukwe kuwa Mo dewij ni mmiliki wa simba Sc inayoshiriki ligi kuu tanzania bara pamoja na hiyo Singida unitedHuu ndio wakati muafaka kwa Mo Dewji kuichukua hii team ili tuamini kweli anapenda michezo na kuendeleza soka letu na kikubwa hii team ni kutoka kwao.
mlikubali vipi mwanachama wa yanga kufadhili timu yenu ?Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Club license hairuhusu mtu mmoja kumiliki timu mbili kwenye ligi mojaHuu ndio wakati muafaka kwa Mo Dewji kuichukua hii team ili tuamini kweli anapenda michezo na kuendeleza soka letu na kikubwa hii team ni kutoka kwao.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwani lazima Mwigulu,, Wema Sepetu yupo mfateni hata yeye,,
Hahahahahaha u made my night aiseeKwani lazima Mwigulu,, Wema Sepetu yupo mfateni hata yeye,,
Alipokuwa waziri mlimuona mungu, sasa kapuku matusi yameanza, kufeni na hali yenu