Mwigulu ulichotufanyia SINGIDA United sio poa

Mwigulu ulichotufanyia SINGIDA United sio poa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida wachezaji wamekimbia njaa... Hakuna wa kuwalipa mshahara..Mohamed Dewji kawatosa..Mwigulu choka mbaya hela hana anauza sura tu
 
Singida wachezaji wamekimbia njaa... Hakuna wa kuwalipa mshahara..Mohamed Dewji kawatosa..Mwigulu choka mbaya hela hana anauza sura tu
Msimu huu Singida United itakuwa timu ya kawaida sana, itapambana na kushuka daraja, Mwigulu amevuliwa madaraka na JPM, Wafadhili wanakimbia, hali kifedha choka mbaya, key players wote mmegawa hata kumlipa kocha Moroco tabu, mtapambanavna hali yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio wakati muafaka kwa Mo Dewji kuichukua hii team ili tuamini kweli anapenda michezo na kuendeleza soka letu na kikubwa hii team ni kutoka kwao.
 
Huu ndio wakati muafaka kwa Mo Dewji kuichukua hii team ili tuamini kweli anapenda michezo na kuendeleza soka letu na kikubwa hii team ni kutoka kwao.
Sheria haziruhusu kumiliki vilabu viwili ndani ya ligi moja ikumbukwe kuwa Mo dewij ni mmiliki wa simba Sc inayoshiriki ligi kuu tanzania bara pamoja na hiyo Singida united
 
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
mlikubali vipi mwanachama wa yanga kufadhili timu yenu ?
 
Huu ndio wakati muafaka kwa Mo Dewji kuichukua hii team ili tuamini kweli anapenda michezo na kuendeleza soka letu na kikubwa hii team ni kutoka kwao.
Club license hairuhusu mtu mmoja kumiliki timu mbili kwenye ligi moja
 
Kwani lazima Mwigulu,, Wema Sepetu yupo mfateni hata yeye,,
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hio timu ndio mwisho wake unakaribia tangu lini mwanasiasa akapewa maamuzi ya kuongoza timu ya mpira ..mwenzenu anawaza wapiga kura wake
 
Mtafuteni Tunddu Lissu awaombee Mpunga kwa wale jamaa zake wa ACACIA.
AU Lazaru Nyirandu aombe kwa wale jamaa zake Wamarekani huwa wanatoa Billions.
Mkikosa kabisa Bibie shemeji yenu Faraja Kotta atamaliza hivyo vitu vidogo sana.
 
Fieni mbali nyie,mlisajili wachezaji wazuri akiwamo fei toto mkajifanya mna huruma ,pambanan na hari yenu na naona mnashuka daraja
 
Back
Top Bottom